Plots for sale at Nzuguni, Dodoma


Viwanja Vinauzwa DODOMA mtaa wa Nzuguni B karibu na Chuo Cha Maendeleo ya Jamii, viwanja ni vyenye ukubwa wa Sqm 389, 348, 371, 388. Viwanja vipo Sehemu nzuri mno na miundombinu ya Maji na Umeme ipo Karibu na site yetu hyo. Bei ni 5 Milion tuu kwa kila kimoja kwa msimu huu wa sikukuu pekee.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba zifuatazo
0757216351
0716459730.