Plots for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Watu wangu wa maana kabisa leo tuna kiwanja maeneo ya Tabata Segerea Viwanja Vya Benki.
Panafikika bila shida.
Miundombinu mizuri kabisa.
Pia ni tambarare.
Eneo linafaa kwa makazi na ni patulivu mno.
Ukubwa: SQM 600
Bei: Mil 55
Muhitaji piga 0688 412 890.