Plots for sale at Ubungo, Dar Es Salaam


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Manispaa ya Ubungo,Kibamba Shule,vipo km2 Toka stand ya daladala Kibamba Njia-panda au Shule! Vipo karibu na Kanisa la KKKT,Kona Bar,Migebuka ya Peter Msechu na makazi ya kumwaga!
Piga simu upate Kiwanja hapa Kibamba Shule Kwa bei nzuri sana! Unaweza kulipa kidogo kidogo! Bei Kwa square meter ni shilingi 45,000/= ukubwa wa plot ni kuanzia 500m²
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814