Plots for sale at Vikindu, Pwani


NEW SITE
OFA YA RAMADHAN
VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA MILION MOJA NA LAKI TANO TUU(1500000)
0779400686
0744400686
Viwanja vinapatikana Vikindu vianzi mjin kabisa, Karibu Sana.
Ni Viwanja vizuri na mji uliopangiliwa kisasa kabisa, viwanja ni tambarale, vikiwa vimezungukwa na huduma muhimu kama Maji,umeme na shule binafsi na shule za Serikali, Hospitali na Usafiri wa bajaji n.k
Ni KM 3 Kutokea Vikindu Stand ( Usafiri wa Bajaji
700)
Ukubwa wa Viwanja ni Futi
Futi 40/50=1500000
Futi 40/100=3000000
Futi 80/100=6000000
Unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako
Utaratibu wa kulipa kwa awam upo, unaweza kuanza na %70 nyingine ukamaliza ndan ya miezi miwili.
Usafiri wa kufika Kutoka Vikindu ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tu tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k
NB : Karibu kuona kwani Usafiri ni Bureee!.
Yaani Ushindwe wewe
âARDHI NI MALIâ
(KWA WATEJA WA CASH UNAPATA HATI FREE)
Hakuna malipo ya ziad
Karibuni sanað¶ðœââïžð¶ðœââïžð¶ðœââïž