Plots for sale at Vikindu, Pwani


VIWANJA BEI POA MNO
KUANZIA TSH 1,500,000 TU‼️‼️‼️‼️‼️‼️
Naomba usome maswali na majibu hadi mwisho
BEI YA KIWANJA?
Inaanzia Tsh 1,500,000
NINI KINATOFAUTISHA BEI YA VIWANJA?
Viwanja vya mbele bei Tsh 2,400,000
Vya kati Tsh 1,900,000
Vya pembeni TSH 1,500,000
TAFADHALI ZINGATIA VIWANJA VYOTE TAMBARARE
Ukubwa wa viwanja?
FT 50x40
UNAWEZA KUUNGANISHA VIWANJA KADRI YA UWEZO WAKO
VIWANJA VINAPATIKANA WAPI?
VIKINDU KWA MTOPA NA ni KM 4 kutoka stendi na bajaj kutoka stendi hadi kwa mtopa ni TSH 700
Kutoka kwa mtopa unaweza kutembea kwa mguu hadi kwenye viwanja
HUDUMA ZA KIJAMII ZINAPATIKANA?
Umeme na maji vyote vinapatikana
JE NI ENEO AMBALO LIMECHANGAMKA NA MAJIRANI WAPO?
Ndio majirani wapo wengi waliozunguka viwanja hivi
USAFIRI WA KUFIKA VIKINDU?
Daladala zipo kutoka MBAGALA, GEREZANI, BUZA,TEMEKE/TANDIKA NA KIGAMBONI
VIKINDU IPO WAPI?
vikindu ipo KILWA ROAD, mbele ya MBAGALA. Mkoa wa PWANI
HALI YA VIWANJA?
Viwanja havina MGOGORO
Eneo limepimwa na barabara za mtaa zimeboreshwa
MTEJA ANAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO?
Ndio unaweza kulipa kidogo kidogo kwa miezi 4, utaanza malipo na kiasi cha milioni moja tu
UKIMALIZA MALIPO UTAPATA NYARAKA GANI?
Baada ya kukamilisha malipo yote utapewa hati ya mauziano kutoka ofisi ya serikali ya eneo husika
JE SIKU GANI ZA KUTEMBELEA VIWANJA?
Tupo wazi siku zote za wiki
NAMBA ZA MAWASILIANO?
PIGA SIMU: 0785367831
Whatsapp : 0769355987