Plots for sale at Vikindu, Pwani
KARIBU OWERU INTERNATIONAL LTD UJIPATIE VIWANJA KWA BEI YA PUNGUZO
📍Vipo VIKINDU, VIANZI, MTAA WA MANYANI
🚕KILOMITA 5 tu kutoka Kilwa Road(VIKINDU)
🌋Viwanja vina ukubwa wa futi 40 x 50
🚦Barabara ya kuelekea site inapitika 24/7
🛤️Kila kiwanja kimepitiwa na barabara
🏥🕋🏨Huduma zote za kijamii zimezingatiwa
💰 BEI TSH 900,000/- TU
📲 Wasiliana nasi kwa namba ya simu
👉🏽0711890764 au 0714859934
🚌 Daladala za kwenda mjini zipoo:
Kigamboni, kariakoo,mbagala,machinga complex,n.k...
*SIFA ZA VIWANJA VYETU*
🔍 Viwanja vipo tambarare
🔍 Viwanja vinatambulika na serikali za mtaa.
🔍 Viwanja vimepangiliwa katika makazi bora ya mji ( kila kiwanja kina barabara ya mtaa).
📌Usafiri upo bajaji 🛺 700 Boda 🏍1000 kutoka *VIKINDU* Hadi *VIANZI CENTER*.
📌**BEI ZA VIWANJA:900,000/=*
📌Siku za kwenda site ni siku zote za wiki