Plots for sale at Vikindu, Pwani


Offer offer offer ya viwanja kisemvule.
Obey new village ni mradi mpya wa viwanja vilivyo pimwa na kupangiliwa kitaalam kwaajiri ya makazi na biashara,
Mradi upo kisemvule (vikindu) ni km chache kutoka mbagala kongowe , na ni km mbili kutoka kilwa road hadi site.
Usafiri ni uhakika muda wote, kuna mabasi ya kutoka kisemvule kwenda kivukoni, gerezani, temeke nk.
Mradi una sehemu za huduma za jamii kama,
Soko, kituo cha afya, stendi, bustani nk.
Viwanja ni bei nufuu
1,300,000/ = futi 50×40
2,600,000/ = futi 50×80
Pia tunapokea malipo ya awamu. Baada ya malipo ya awali unaruhisiwa kulipa kidogo kidogo kwa awamu 3
Kwa maelezo zaidi fika site tukuhudumie .
Call 0686584004 au 0653034268
Whatsapp 0686584004 au 0653034268
uzanunua