Plots for sale at Vikindu, Pwani
WALE MNAO HITAJI VIWANJA VYA BEI NDOGO, HAYA TUMEWALETEA OFA HII USHINDWE WEWE TU. BEl YA KIWANJA NI LAKI SABA TU (700,000/=). Viwanja ni Vizuri sana. Vinapatikana VIKINDU VIANZI CHANG’OMBE Piga /Whatsap 0711677199/0744847199..
UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40. Unaweza Kuunganisha Viwanja zaidi ya Viliwi na kuendelea kulingana na bajeti yako.
Viwanja vipo Vikindu Vianzi Chang’ombe , kuna Makazi ya watu tayari, Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Shule, kituo Cha Afya, Usafiri kama Bajaji Umefika n.k
USAFIRI NI UHAKIKA, kuna daladala za kutoka
Gerezani hadi Vikindu, Tandika hadi
Vikindu, Temeke hadi Vikindu , Kigamboni Vikindu, Posta Vikindun.k
Piga/whatsaap 0711677199/0744847199