Viwanja vinauzwa Kiromo, Bagamoyo, Pwani (400 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 18,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Ukubwa

400 SQM

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Karibu na Bichi

Maelezo

📍BAGAMOYO KIROMO SMART CITY PROJECT - AVAILABLE TO INVEST NOW 🔥🏡

Pata kiwanja katika mradi wetu Mpya wa *Kiromo Smart City - Bagamoyo*, moja ya maeneo yanayokua kwa kasi na yenye thamani kubwa ya uwekezaji 🌊📈

✍️ Kwanini Uwekeze Hapa?
✨ Eneo zuri na la kimkakati
✨ Mazingira tulivu ya ukanda wa pwani
✨Panafaa kwa makazi, nyumba za mapumziko au uwekezaji wa muda mrefu
✨ Ni Sehemu ambayo thamani inaongezeka kila siku

💰 MFANO WA BEI: SQM 400
CASH: Tsh 18,000/SQM
400 x 18,000 =7,200,000/=
✅Lipa Tsh 2,400,000/= Kwa Miezi 3

💳 INSTALLMENT: Tsh 20,000/SQM
Tsh 20,000 kwa SQM
400 x 20,000= 8,000,000/=
✅Lipa kidogo kidogo kila mwezi Tsh 400,000/= Kwa Miezi 20

⏳ Viwanja ni vichache, wahi kabla bei haijapanda.

📍Bagamoyo Kiromo Smart City Project - Your Future Address Starts Here