Residential/Commercial Plot for Sale in Tabata Kinyerezi Mbuyuni, Dar Es Salaam (350 sqm)







Type
Residential/Commercial Plot
Plot Size
350 SQM
Amenities
Description
Kiwanja kinauzwa bei milion 25, ukubwa wa eneo square meter 350, eneo nzuri sana na tambalale sana pia hii eneo linatazama barabara kuu ya mtaa, hapa unaweza kujenga nyumba apartment, nyumna ya makazi au fremu za kibiashara n.k, kutoka kituoni dakika 15 hadi 18 hivi au bodaboda sh 1000, hii eneo lipo maeneo ya tabata kinyerezi dar es salaam
Kwa maelezo zaidi piga sim
Calls/whatsapp 0653233641 au 0653233641
Service charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam




















