Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







FREMU INAPANGISHWA โ KIMARA, KOROGWE
๐ Eneo: Kimara, Korogwe, umbali wa dakika 6โ7 kutoka Morogoro Road
๐ฐ Kodi: 150,000/= kwa mwezi, malipo kuanzia miezi 3,4, 5, 6
๐ผ Service Charge: 15,000/=
๐ Maelezo:
Fremu hii kubwa inafaulishwa ipo katika eneo lililo changamka kibiashara, liko karibu na shughuli zote za jiji. Inafaa sana kwa biashara mbalimbali kama:
๐น Duka
๐น Salon
๐น Vinywaji na vyakula
๐น Biashara ndogo au kubwa nyingine yoyote
๐ Piga simu kwa maelezo zaidi 0659336751