Retail space for rent at Kimara, Dar Es Salaam


Fremu Inapangishwa kimara Temboni center
Kubwa na nzuri zipo kimara Temboni
Biashara yoyote inafaaa njoo na pesa ya kodi
Bei ni 200,000 miezi 6 au 150,000 ilipwe miez 12 so ww chagua uwezo wakoo..
Service charge 15,000 tuuu
Fremu ni mpya na mtaa umechangamkaaa so wahi hapa ndugu mtejaaa
Umeme kila mtu wake
Mji yapo chooni
Servichaj elfu 15
Contact
0742260844
0657384670