Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






FREMU INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE BARABARA YA ZEGE
FREMU KUBWA SANA NA NZURI INATAZAMAN NA BARABARA YA ZEGE WAHI
FREMU INAJITEGEMEA UMEME
CHOO KIPO KIZUR KISAFI
FREMU KUBWA NA NZURI IPO BARABARA HAPA.KOROGWE
KODI 250,000×3
UKILIPA UNAANZA BIASHARA SIKU IYO IYO
ANGALIZO:KAMA KUNA BIASHARA PALE INAYO FANANA HAIRUSIWI SO KAMA AKUNA BIASHARA FRESH..
0713661530_0783661530