Retail Space for Rent at Mawasiliano, Morogoro







Fremu inapangishwa ina eneo mbele la kutosha ,stoo na choo chake.inafaa kwa matumizi yafuatayo .gereji ya pikipiki,car wash,chakula na matumizi mengine .ipo kibangu njiapanda ya jeshi inatazama lami
.bei laki mbili 200k
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo sevchage 15000 kwenda Kuona
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347