Retail Space for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam





KODI 200000 K X4
FREMU INAPANGISHWA IPO
MBEZI MWISHO
UPANDE WA CHINI KAMA UNAENDA KWA YUSUFU
SIFA FREMU IPO SEHEMU NZURI KWA BIASHALA
KODI 200000 K X4
KUPELEKWA KUONA 20000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
IPO WAZI
KARIBU MTEJA
SIMU
0712756027