Retail space for rent at Mikocheni, Dar Es Salaam
Fremu inapangishwa
Loc: mikocheni
Price:900,000 per month
Term: six month.
Note:
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Fremu kubwa nzuri ipo barabarani full tiles gypsum board milango ya Aluminum inafaa kwa office na biashara zingine
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈