Retail Space for Rent at Mwenge, Dar Es Salaam


🗣INAPANGISHWA FREM _ 📍MWENGE STAND
Kodi 400,000/= kwa mwezi
Malipo miezi 6
💵Service Charge 30,000\=
📍Eneo MWENGE STAND
✅Inatizama Lami
✅Umeme unajitegemea
✅Eneo lenye mzunguko wa watu ni mkubwa
✅Inafaa kwa biashara\Ofisi Mbalimbali


















