Retail space for rent at Sinza, Dar Es Salaam


Frame inapangishwa
Ipo:- Sinza
Frame Inaangalia barabara kubwa
Bei:- laki nane kwa mwezi
Frame inafaa kwa biashara yoyote na ipo sehemu iliyochangamka
Angalizo gharama za kupelekwa ni 30K
Mallipo ya dalali ni Kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo Frame