Retail space for rent at Sinza, Dar Es Salaam
Frem zinapangishwa zipo kwenye finishing zamwisho unaweza kuweka oda frem zipo zachini nazajuu bei zipo kama ifuatavyo
Frem za chini
Zipo za laki 6 nalaku 5 kwa mwezi kodi miezi 6
Frem za juu zipo za laki 5 kwa mwezi kodi miezi 6
Frem zipo sinza kuwah kwako ndo kupata frem unayoitaka ruksa kuona nakulipia
Notes
DC
Real Estate company
EPuka Matapeli fanya kazi na madalali wenye office na waliosajiliwa
Fika offisini kwetu sinza madukani near manyara hotel
Call
0688 49 82 99
0758 43 02 45 whatsAp