Retail Space for Sale at Kivule, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IPO KIVULE FREM 10 KWA CHONGE
BEI TSH MILIONI 58 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 300
UMILIKI; MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA 4 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
PUBLIC TOILET
PANA FENCE NA GATE
MAJI YAPO YA DAWASA
UMEME UPO
PIA KUNA FREMU 1 YA DUKA
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
TUPIGIE SIMU
0788156493
0614130017
0760053111