Retail Space for Sale at Kivule, Dar Es Salaam







Nyumba MBILI zinauzwa zote katika eneo moja
Zipo Kivule frem kumi stend karibu na hospital kuu ya wilaya ya Ilala Dar (AMANA NDOGO)
📌BEI MILION 90 MAONGEZ YAPO📌
Vyumba vya kulala jumla ni 6
👉Nyumba kubwa ina vyumba v3 kimoja masta
Dining siting jiko
Tailiz jipsam umeme
📌Nyumba ndogo ina vyumba v3 kimoja masta
sebule jiko tailz jipsam umeme
FREMU MBILI ZA BIASHARA
Kisima cha maji safi
Full perving na ukuta
Nyaraka ya mwanasheria
Eneo sqm 580 (makadilio) #068491594 #0716974073