Retail space for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA NA FREMU INAUZWA ML 7 IPO MBEZI MALAMBA KARIBU SANA NA MALAMBA MWISHO WA BAJAJI KWENYE LAMI.
______________
NYUMBA IPO DK 2 TOKA BARABARA YA LAMI
________________
BEI MILIONI 70 MAONGEZI KIDOGO YAPO
______________
MKOA__DSM
WILAYA __UBUNGO
MAHALI ILIPO__MBEZI MALAMBA MAWILI DSM
______________
SIFA YA NYUMBA
_________________
__VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
__SEBULE KUBWA
__JIKO
__DINNING ROOM
__CHOO CHA FAMILIA
__NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA INA FREMU 2 NA VIBANDA VYA BIASHARA
__NYUMBA IPO CENTER MALAMBA MWISHO PALIPOCHANGAMKA.
_____________
KUONA NYUMBA TSH 20000/=
0679062127