Farm for sale at Heka, Singida


Hili sio la kukosa…
Shamba linauzwa Bei ya jioni kabisa…
Shamba lina minazi MINGI MNO…minazi 35 (nimeihesabu vizuri) na minazi yenye nazi nyingi… yaani bado inazaa
Eneo ni tambarare
Bei Tsh 5.5m tu…
Shamba linaukubwa wa heka 1
Shamba lipo km 6 kutoka barabara ya lami, Barabara yake ni nzuri na gari inafika hadi shambani
Umeme upo karibu na shamba na maji yanapatikana
Kutembelea shamba gharama yake TSH 30,000 tu
Nipigie 0785367831
Whatspp 0769355987