Farm for sale at Mpunguzi, Dodoma


Mpunguzi, Dodoma, Dodoma
18 hours ago
Sh. 600,000
Installment Allowed
Agriculture
SHAMBA LINAUZWA KIJIJI CHA NKWENDA MPUNGUZI DODOMA.
👉42km kutoka mjini na 12km kutoka barabara ya lami.
👉Linafaa sana kwa ufugaji wa ng'ombe na mbuzi maana malisho ni mengi.
👉Lipo mbali na makazi ya watu. Umeme na maji hamna, unaweza kuchimba kisima ukaweka na solar.
👉Zipo ekari 10 na Bei ni 600,000 kwa ekari.
👉 Gharama za kwenda site ni 20,000
Tupigie 0672312302