Farm for sale at Ngerengere, Morogoro





Ngerengere, Morogoro, Morogoro
6 days ago
$ 250,000
Installment Allowed
Agriculture
*Shamba la Ekari 335 linauzwa Sangasanga, Morogoro*
*Distance* Kilomita 10 kutoka Barabara kuu ya Dar Morogoro.
*Location* Shamba lipo Sangasanga, kijiji cha Mkono wa Mara, mpakani mwa Mto Ngerengere, Wilaya ya Morogoro Vijijini.
-Shamba ni zuri linakubali mazao mengi.
-Document: Title kwa miaka 99
*Bei USD 250,000*
Buy,sale, Rent and Advertise with us
Calls and Whatsapp+255621488071