Farm for sale at Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 300,000
Installment Allowed
Agriculture

🌱 SHAMBA LINAPATIKANA – RUVUMA, WILAYA YA MADABA, KIJIJI CHA NANDETE 🌱

✨ Ukubwa: Ekari 400
✨ Bei: TZS 300,000/= kwa ekari moja
✨ Faida:

Lipo karibu na mto usiokauka – ideal kwa kilimo cha umwagiliaji.

Linafaa kwa vitunguu, tangawizi, vitunguu swaumu, mahindi, miwa, na mazao mengine mengi.

Hati: Hati halali za kijiji.

Limeachwa kwa miaka mitatu bila kulimwa – ardhi bado safi na yenye rutuba.

📍 Ni eneo zuri sana kwa uwekezaji wa kilimo chenye tija kubwa!

Buy,sale, Rent and Advertise with us
Calls and Whatsapp+255621488071

mtwara_vituvilivyotumika
dalali_mtwara_
mtwara_vituvilivyotumika

Similar items by location

Farm for sale at Ruvuma
  • Agriculture

Sh. 300,000

🌱 SHAMBA LINAPATIKANA – RUVUMA, WILAYA YA MADABA, KIJIJI CHA NANDETE 🌱✨ Ukubwa: Ekari 400✨ Bei: TZ...

Farm for sale at Ruvuma
  • Agriculture

Sh. 55,000,000

SHAMBA LA HEKARI 130, GODAUNI,JENGO LA MASHINE, JENGO LA WAFANYAKAZI & KISIMA ZINAUZWA MADABA SONGEA...

3 Bedrooms House for sale at Ruvuma

Sh. 150,000,000

*SHAMBA LA EKARI 130 LA MPUNGA LINAUZWA MADABA, RUVUMA**Distance* Barabara kuu ya Njombe - Songea na...

3 Bedrooms House for sale at Ruvuma

Sh. 300,000

SHAMBA LA MPUNGA EKARI 130, TSHS.150 MILIONI,MADABA, RUVUMA.Hili Shamba lipo umbali wa mita 300 tu k...

3 Bedrooms House for sale at Ruvuma

Sh. 68,000,000

*SHAMBA LA MPUNGA LINAUZWA MADABA RUVUMA HEKARI 130*Shamba ni bonde ZURI Kwa Zao la MPUNGA.Ndani ya ...