Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya
OFA YA XMAS NA MWAKA MPYAโฆ..
KWA THS 2.5M Tu unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 450 mpka 770 bei ni moja kwa kiwanja kimoja ujanja Kuwahi, pia tutakupa ofa ya miche (Miti) kumi.
Viwanja Vipo BAGAMOYO KIROMO Mtaa wa MATAYA
Viwanja Vimepimwa
Mradi wetu upo KM 4 kutoka Bagamoyo Road๐
Eneo limepakana na Shule ya Sekondary Genius king ๐ค
Bei ya kiwanja kimoja ni 2.5M kwa Cash kwa kiwanja kimoja
Bei ya installment ni Tsh 3.5M
Unatanguliza 500,000/- na inayobaki utalipa ndani ya miezi Sita
Viwanja vyote bei ni Moja haijalishi ukubwa, ujanja kuwahi
Ukillipia unaweza kuendelea kuendeleza eneo lako huku ukiendelea na Marejesho ๐
Tutakupandia miche 10 kwenye eneo lako Kama offer
Umeme, maji vipo Site
Gharama ya kwenda site utachangia 20,000/- ya mafuta ila gari la ofisi lipo
Siku za kwenda site ni yoyote tupigie siku Moja kabla
Siku Rasmi ni Jumamosi
Tupigie 0716279427 ili utumiwe Ramani uwahi kiwanja kikubwa au corner plots
Call/whatsapp 0716279427
Call 0692297575