Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


Wadau wa Mashamba mpooooo, yani jumamosi hii site ni Kulibalati na Chalinze🔥🔥
Bagamoyo Kulibalati ni Tsh.1,500,000 tu kwa Heka moja
-Lipia Tsh.100,000 kila mwezi
-Malipo ni miezi 15 utalipia kidogo kidogo
-Lipia cash upate punguzo la 10%
Chalinze Pingo ni Tsh.800,000 tu kwa kiwanja cha Sqm 400 (20*20)
-Bei ya sqm 1 ni Tsh.2,000
-Lipia Tsh.67,000 tu kila mwezi
-Malipo ni miezi 15 utalipia kidogo kidogo
-Lipia cash upate punguzo la 10%
Hati ni 100% pindi utakapo maliza malipo yako, bila ubabaifu kwasababu sisi tunakupa unachohitaji na kwa
Ubora zaidi
Tupigie No.☎️ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala