Plots for sale at Bagamoyo, Mbeya


Je unajua kama huu ni Mwaka wa kupanda na kuvuna kwa wanao miliki mashamba !!
Basi ngoja nkujuze kupitia viwanjapro utaweza kumiliki ardhi iliyopimwa kwa unafuu mkubwa wa malipo yani unapata shamba
Lenye hati miliki na huku unavuna mazao yako kibosi kabisa😇😇
Mradi huu upo bagamoyo-Kulibalati
-Heka 1 utapata kwa Tsh.1,500,000 tu
-Ukilipia cash utapata punguzo la 10%
-Malipo ya kidogo kidogo utalipia Tsh.100,000 tu kila mwezi
-Malipo ni ndani ya miezi 15
Mashamba yetu ni Handsome sana yani ni mwendo wa km 10 tu mpaka unafika site, na site tunakwenda kila jumamosi,
Tupigie No.☎️ 0699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala