Plots for sale at Bagamoyo, Tanga
MAKURUNGE ROYAL ESTATES PROJECT
✅Viwanja vya matumizi
mbalimabali MAKURUNGE, Bagamoyo.
Sio Shamba, Kama Jirani anavyodhihirisha hapo 🔥
📌 Viwanja vipo umbali wa Kilomita 2 kutoka barabara kuu ya MSATA - BAGAMOYO inayotumiwa na magari yaendayo mikoa ya Kaskazini kutoka Dar es Salaam.
📌 Vikiwa mita 50 kutoka barabara ya kuelekea
PANGANI na TANGA inayoendelea kujengwa kwa kiwango cha lami na kuwekewa miundombinu ya maji na umeme
💥 Viwanja vipo 10km kutoka eneo la Razaba (Eneo La
Zanzibar)
✍🏼 Eneo linalopakana na viwanja hivi limepimwa na viwanja vimeuzwa na vimeisha. Huduma zote za jamii zimetengewa maeneo.
Bagamoyo Makurunge
Mradi mpya bagamoyo makurunge royal estates
📌2km kutoka Bagamoyo Road
📌Njia ya kuelekea Saadani National Park
📌 Malipo hadi miezi 24
*BEI ZA MITA MRABA*
1. Malipo ya cash 10,000/= kwa mita mraba
- Mfano SQM 346
346 × 10,000 = 3,460,000/=
2. Malipo ya awamu miezi 24 ni 12,000/= kwa mita mraba
- Mfano SQM 346
346 × 12,000 = 4,152,000/=
📌 Kila mwezi 173,000/=
✅ viwanja ni kwa ajili ya biashara na shughuli zingine
CALL/WHATSAPP
0657618231 ☎️