Plots for sale at Chanika, Dar Es Salaam


MKOPO WA VIWANJA CHANIKA
Karibu Chanika tuna mradi mpya maeneo yafuatayo
CHANIKA NAMANGA
Vipo mita mia tatu kutoka barabara kuu ya lami
Bei inaannzia mil mbili hadi mil mbili na nusu kwa kiwanja kimoja cha 20*20 Price(2mil na 2.5)
CHANIKA KIDOLE
VIWANJA vya kidole vinapatikana jirani na barabara. Vinapakana na lami
Bei ya kidole inaanzia mil 2 na nusu hadi mil 3 kwa kiwanja cha 20*20
Price (2mil hadi 3mil)
CHANIKA KIBOGA
Viwanja vya kiboga Bei yake inaanzia mil moja tu hadi mil na nusu kwa kiwanja cha 20*20 (1mil hadi 1.5mil)
NB
Size ya viwanja unaweza kuunganisha ukapata ukubwa unataka yaan 20*20 ama 20*40 ama 40*40
MALIPO
UTARATIBU wa MKOPO unalipa kiasi fulani kilichabaki unalipa kidogo kidogo hadi unamaliza
NAMBA ZA SIM NI
0715416464
USAFIRI WA KWENDA KWENYE VIWANJA NI BURE#