Plots for sale at Goba, Dar Es Salaam


VIWANJA VINA UZWA VYOTE KWA PAMOJA VIPO GOBA MAGOROFAN UNAINGILIA SIMBA OILI 👉 Ziko hati 3
Sqm1. 1568
Sqm2. 1254
Sqm3. 1251
Jumla 4,073 ZENYE UKUBWA WA
NDANI YA VIWANJA KUNA PAGALA MBILI LACHINI LENYE RAMANI KALI SANA
NA PAGALA LA PILI NI GOROFA
TUNAPAUZA KOTE KWA BEI YA MILION 430 MAONGEZI KIDOGO
NARUDIA TENA PANA HATI TATU NA VIWANJA VIPO VITATU JUMLA SQM 4073🔥🔥