Plots for sale at Goba, Dar Es Salaam


๐โญViwanja Goba na madale tumekuletea miradi mizuri na isiyo na longolongo ushindwe wewe tu mteja wetu๐๐โญ
Miradi tulionayo ni ๐๐๐๐
๐ตGoba kulangwa Umbali kutoka lami ni mita 500 bei ni 43000 kwa Sqr meter maongezi yapo viwanja vimekatwa kuanzia aqr meter 680
๐ตGoba kulangwa kulangwa Umbali kutoka lami ni km 1 bei ni 35000 kwa Sqr meter 1 maongezi yapo viwanja vipo viwili vyote vina ukubwa wa Sqr meter 930
๐ตMadale kwa kawawa Umbali kutoka lami ni mita 700 tu bei ni 38000 kwa sqr meter 1 viwanja vipo nane vimekatwa kuanzia sqr meter 500
๐ตMadale mikoroshini eneo lina ukubwa wa Sqr meter 17000 bei ni 35000 kwa sqr meter 1 umbali kutoka lami mita 900
๐ตMbezi msumi eneo lina viwanja sita na vimekatwa kwa Sqr meter 400 bei ni 27000 kwa sqr meter 1 maongezi yapo barabara za kuingilia kwenye eneo zipo mbili unaweza kuingilia madale mwisho au njia panda ya makabe Umbali kutoka lami km 3
Karibu tukuhudumie ๐ kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi ๐๐๐๐
Call and whatsapp 0626754367/0689396967