Plots for sale at Ihumwa, Dodoma


> Tunashughulikia upatikanaji wa hati pamoja na uanzishaji wa miamala ndani ya banda letu hapa Nanenane.
> Tunauza viwanja vizuri katika miradi yetu iliyopo Ihumwa na Iyumbu.
> Ihumwa: Tunauza viwanja kwa Sqm 1 kuanzia Tsh 15,000 hadi 30,000 kulingana na matumizi ya eneo kama ni kwaajili ya Makazi, Uwekezaji au Makazi na uwekezaji.
__________
Mawasiliano/ Maelezo zaidi tupigie
☎️ 065 751 0444