Plots for sale at Ihumwa, Dodoma

 media -1
media -1
Sh. 10,000 per sqm
Project
Yes

Luck real estate dodoma inakukaribisha katika Eneo lao la mradi mpya kabisaa wa NGHONG’ONHA mradi ambao upo karibu kabisa na Hospital ya BENJAMINI MKAPA

Mradi huu una viwanja vya BIASHARA ambavyo vipo kwenye Barabara mpya kubwa ya ring road barabara ya mzunguko ya Dodoma
Viwanja vya makazi na BIASHARA vipo mt 30 kutoka ring road
Km 5 kutoka inapo jengwa BANDARI KAVU IHUMWA
Km 9 adi mji wa kiserikali MTUMBA magufuli City

Bei ya viwanja vya BIASHARA Kama HOTEL 🏨 SHELI VITUO VYA MAFUTA , GARAGE , LORRY PARKING kwa sqm 1 ni elfu 10000/
Bei ya viwanja vya makazi na BIASHARA kwa sqm 1 ni elfu 6000,gharama hizi ni pamoja na uandaaji wa hati

Umbali wa kutoka mjini Kati adi kwenye mradi ni km 15
Mradi Upo Karibu na HOSPITAL YA DCMC Lakini mradi huu pia upo karibu kabisa na ntyuka (Mradi wa viwanja VYETU kwenye eneo la mwinuko ) hivyo ukiwa katika mradi huu wa NGHONG’ONHA utaiona Dodoma nzima kwa uzuri zaidi
Eneo la mradi lipo karibu kabisa na Barabara mpya ya lami ya ntyuka

Kwa mawasiliano zaidi tembelea ofisi zetu zilizopo Dodoma mjini mtaa wa uhindini mkabala na wizara ya ujenzi na uchukuzi

Au tupigie kupitia simu namba
0745200984
0747999997
Na tufatilie katika mitanda yetu ya kijamii

Instagram
Facebook

Karibu tuijenge dodoma karibu luck real eastate

viwanja +nyumba  dodoma
luck_real_estates_dodoma
viwanja +nyumba dodoma

Similar items by location

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma

Sh. 20,000

📍IHUMWA, DODOMA📍MTAA WA EL SHADAI SI MNAUJUA LAKINI NDUGU ZANGU WA DODOMA📍HAYA KITU HIKI HAPA📍SQ...

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma

Sh. 20,000

📍IHUMWA, DODOMA📍MTAA WA EL SHADAI SI MNAUJUA LAKINI NDUGU ZANGU WA DODOMA📍HAYA KITU HIKI HAPA📍SQ...

Plots for sale at Ihumwa, Dodoma
  • Project

Sh. 10,000 per sqm

Luck real estate dodoma inakukaribisha katika Eneo lao la mradi mpya kabisaa wa NGHONG’ONHA mradi am...

Plots for sale at Ihumwa, Dodoma
  • Project

Sh. 10,000 per sqm

Luck real estate dodoma inakukaribisha katika Eneo lao la mradi mpya kabisaa wa NGHONG’ONHA mradi am...

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma
  • By Installment

Sh. 14,000,000

LIPIA KIWANJA HIKI KWA AWAMU📍IHUMWA DODOMA MJINISqm 600Bei - Million 14Piga / WhatsApp +25575244458...

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma

Sh. 14,800,000

IHUMWA ELSHADAIMita 600 toka lami (dar road)SQM 637Bei ni milion 14.8ml

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma

Sh. 14,800,000

IHUMWA ELSHADAIMita 600 toka lami (dar road)SQM 637Bei ni milion 14.8ml

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma

Sh. 14,800,000

IHUMWA ELSHADAIMita 600 toka lami (dar road)SQM 637Bei ni milion 14.8ml

Plot for sale at Ihumwa, Dodoma

Sh. 14,800,000

IHUMWA ELSHADAIMita 600 toka lami (dar road)SQM 637Bei ni milion 14.8ml

Plots for sale at Ihumwa, Dodoma
  • Project

Sh. 19,000,000

VIWANJA VIWANJA VIWANJA (USISEME SIJAKWAMBIA HAYA SASA?BEI ZIMEKUFAA)__________________________IHUMW...