Plots for sale at Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 1,160,000,000
Project
Yes

Hapa ni Kibaha Misugusugu! Tunakusaidia upate Kiwanja kilichopimwa Kwa shilingi 8500/= Tu. Hii ni Bei Kwa mita Moja za Mraba.

Viwanja hapa Misugusugu ni Kuanzia 400m² Hadi 1160m². Tunapokea malipo kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja. Kianzio ni shilingi 1,000,000/=

Viwanja hivi vipo katika eneo ambalo mwekezaji wa Real Estate upande wa majengo anaweza kujenga apartment Kwa ajili ya wafanyakazi wa Viwandani! Hapa huduma zote muhimu zipo kama vile maji,umeme na hata majirani.

Kutoka hapa Site Hadi ilipo barabara ya Lami ni mita 900 Tu! Ni umbali wa kutembea Kwa miguu Tu! Yani usikubali kukosa Kiwanja kilicho karibu na barabara ya Lami .... Ni hapa Kibaha Misugusugu! Furahia maisha ya uwekezaji kwenye Ardhi na Remmys Brand! Tunakupa kilicho Bora zaidi.

Viwanja vimeshakuwa approved. Yani Kwa wateja wanaolipa Cash mchakato wa Hati unaanza haraka baada ya malipo kupokelewa.

Tunapatikana Kibaha Madafu,Kiluvya Madukani na Mbezi Kwa Msuguri

Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0758 764 040

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 2,000,000

VIWANJA! VIWANJAA!! VIWANJAAA!!! BEI KUANZIA TSH 2,000,000( MILIONI MBILI) NAKUENDELEA KULINGANA NA ...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 300,000,000

NUNUA KIWANJA NA UJENGE NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY✅Kibaha, Visiga MadafuNUNUA KIWANJA NA UANZE K...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 6,000,000

KIWANJA KIKUBWA SQM 800 KIMEGUSABARABARA KINAUZWA KIBAHA KWAMFIPA TSH 6M TU.==========🔶 KINA UKUBWA...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,000,000

Viwanja hivi vipo km1.2 toka Morogoro Road, Mahali ni Kibaha Visiga,Miwaleni.... Bei ni shilingi 11,...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 800,000,000

Habari nzuri kwa watanzania wote wanaopenda kumiliki Ardhi iliyopimwa,hapa Panaitwa Kibaha Visiga Se...

Plot for sale at Kibaha, Pwani
  • By Installment

Sh. 1,000,000

Ukiangalia kwa mbali unaweza kuona Morogoro Road kwenye hii picha kwa wale mliosoma kitu kinaitwa Ph...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 4,000,000

FUNGA KAZI HII,BEI KITONGA! Sifa za maeneo haya! Kwanza kuna mahitaji yote ambayo binadam anaitaji a...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 300,000,000

NUNUA KIWANJA NA UJENGE NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY✅Kibaha, Visiga MadafuNUNUA KIWANJA NA UANZE K...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

House/Apartment for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 150,000,000

APARTMENTS ZINAUZWAZIPO TANZANIA MKOA, WA PWANI, WILAYA YA KIBAHA MJINI, KITUO, MISUGUSUGU, KUSHOTO ...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 50,000,000

Eneo la viwanda kinauzwa Loc kibaha madafuMorogoro road Hati safi Ukubwa Ekari 40Kila Ekari moja Bei...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 8,500,000

KIWANJA KINAUZWA KIBAHA MAILI MOJA MARUFU MTAA(MWANALUGALI)KM 4 KUTOKA MOROGORO ROAD NJIA MKEKA NA M...

House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 57,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO KIBAHA KWA MATHIAS INA VYUMBA V3SEBULE DINNING JIKOMASTER PUBLIC ENEO SQM 400BEI...

House for Rent at Kibaha, Pwani

Sh. 130,000

NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA KIBAHA PICHA YA NDEGE DK 10 TU KUTOKA STAND KODI 130K==========〽️ CHUM...