Plots for sale at Kibaha, Pwani


WA VIWANJA VIZURI KWA BEI NAFUU NDANI YA MJI WA KIBAHA.
⏺LOCATION :
KIBAHA - BOKO MNEMELA.
⏺UMBALI:
6KM TOKA MOROGORO ROAD ( LAMI)
⏺UBORA WA BARABARA:
BARABARA YA BOKO NI KUBWA NA IKO KTK MPANGO WA LAMI HIVI KARIBUNI.
⏺USAFIRI:
DALADALA ZIPO, MBEZI-BOKO MNEMELA NAULI 1000 HADI KWAKO.
⏺HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO:
MAJI YA DAWASCO, UMEME,HOSP, SHULE ,MADUKA, N.K
⏺UKUBWA WA VIWANJA:
VIMEPIMWA SQM400 NA KUENDELEA.
⏺BEI YA MAUZO:
MILIONI TATU(3,000,000)TU, KWA KIWANJA CHA SQM400. KWA MALIPO YA MKUPUO (CASH).
KWA MTEJA WA INSTALLMENT NI MILIONI TATU NA LAKI TANO (3,500,000) TU. MTEJA ATAANZA NA 50% KAMA MALIPO YA AWALI. INAYOBAKI ATALIPA NDANI YA MIEZI 6.
TUPIGIE:
☎📞 #0652573978whatsapp
#0769029970👈
KARIBUNI WOTE TULIJENGE TAIFA KWA PAMOJA