Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


๐นNi mradi wa moto๐ฅ๐ฅ wenye jina la Ngamia uliopo Cheka kigamboni.
Mradi upo km 1 kutoka Barabara kuu
Cheka ni umbali wa km 20 kutoka feri.
๐ทโขSIFA ZA MRADI
Makazi yapo
Umeme upo karibu
Huduma za kijamรฏi zipo karibu pia.
๐นBEI
๐ตCash - 25,000 Kwa sqm
๐ณAwamu - 30,000 Kwa sqm (miezi 18) unatanguliza 20%
๐ฐFlat rate - 35,000 Kwa sqm (miezi 18)
Viwanja vimepimwa, na hati ni bila gharama yoyote. Karibuni.
๐0736514656 site visit