Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
#VIWANJA VIPO KUMI AMBAVYO VIMEPIMWA KABISA NA VINAUZWA VYOTE KWA PAMOJA NDUGU MTEJA ZINGATIA HILO
#LOCATION NI KIGAMBONI KICHANGANI MBUTU KILOMETA 3 KUTOKA CHEKA ROAD
#VIWANJA VYOTE JUMLA VINA SQMT 5664
#AMBAYO NI EKARI MOJA NA ALMOST NA NUSU HIVI
KILA SQMT MOJA NI Tsh 25,000/=
KWA MAANA YA KWAMBA JUMLA NI Tsh 141,600,000/=
VIWANJA VIMEPIMWA KABISA NA MCHORO WAKE UPO
WALE WANAUZA VIWANJA HAPA NDIO SEHEMU SAHIHII NDUGU ZANGU KARIBUNI AU HATA WALE WANAOTAKA KUWEKA SHULE AU HOSPITAL HAPA NI PENYEWE KABISA
NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMIII ZIPO KARIBU NA SITE NDUGU
SERVICE CHARGE NI TZS 50,000/=
*NIMEFIKA SITE NDUGU ZANGU KARIBUNI*
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347