Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


KARIBU UJIPATIE VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAPATIKANA KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ MRADI HUU UPO JIRANI NA AYO SOPHIA BEACH ๐
โ๏ธ TUNAUZA SQM 1 ELFU 17000
โ๏ธ MRADI UPO UKANDA WA BAHARI UPEPO WA BAHARI UNAUPATA
HUDUMA ZOTE ZA JAMII ZIPO. UMEME, MAJI, SHULE, HOSPITAL NA BARABARA ZA MITAA ZIPO.
โ๏ธ VIWANJA VIMEPIMWA VINA MAWE YA YENYE PIN NUMBER ITAKAYOKUSAIDIA KUPATA HATI MILIKI YA KIWANJA CHAKO
โ๏ธ UKUBWA WA VIWANJA VINAANZIA SQM 400,500,600,700,800,900,1000 NA KUENDELEA
โ๏ธ MFUMO WA MALIPO YA VIWANJA NI CHASH UNACHAGUA KIWANJA UNALIPIA TUNAMALIZANA ILI KUEPUKA USUMBUFU NA MIGOGORO ISIYO NA MANUFAA
โ๏ธ UMBALI WA MRADI WA VIWANJA UPO KAMA IFUATAVYO :
๐MITA 50 KUTOKA BARABARA YA MBUTU CHEKA
๐KILOMITA 3 KUTOKA BARABARA YA KIMBIJI
๐KILOMITA 2 KUTOKA BAHARINI
๐ KILOMITA 23 KUTOKA KIGAMBONI FERRY
๐ KILOMITA 21 KUTOKA DARAJA LA MWALIMU NYERERE ( MWALIMU NYERERE BRIDGE)
๐KILA SIKU TUNAENDA SITE
๐ KUANZIA J. TATU MPAKA J. PILI KUANZIA ASUBUHI MPAKA JIONI
๐SITE VISIT GHARAMA NI ELFU 10000
TUWASILIANE KWA NAMBA ๐ 0746416326
๐ฅ TUWASILIANE MIRADI IPO KIGAMBONI NZIMA