Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Tumevunja bei sasa!! Kwa MILIONI MOJA NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unapata kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORIS 0711677199/0744847199.

Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea kulingana na bajeti yako. Viwanja ni tambarale na havikai maji.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakutana na neno la SOLD OUT 🤪 JAMANI SIMU ZIITEE 📞 0711677199 au 0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000

NYUMBA INAPANGISHWA(slide kushoto kuona picha zaidi>>>> KIGAMBONI UNGINDONIDSMSIFA✅️Vyumba Viwili ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI DAR ES SALAAM TZ 🇹🇿 BEI:SH MILIONI 270,000,00...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KISIWANI DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 BEI:SH MILIONI 75KIWANJA 👉 S...

4 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (STAND ALOON...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

HOUSE FOR SALE /NYUMBAINAPANGISHWA KIGAMBONILOCATION: KISIWANI, KIGAMBONI*VYUMBA VIWILI SEBULE DININ...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

2 Bedrooms House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KISIWANI DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 BEI:SH MILIONI 75KIWANJA 👉 S...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

KIWANJA CHA BARABARANI KINAUZWA KIGAMBONI bei milioni 2800767672719📱0713672719Kiwanja kipo dege kig...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINNING NA JIKO TSH 500K 😋 KISOTA KIG...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

PLOT FOR SALEKIWANJA KIZURI KINAUZWA🇹🇿📍Location :MIKWAMBE KIGAMBONI DAR) 🔽SQ 550 (HATI YA WIZAR...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

PLOT FOR SALEKIWANJA KIZURI KINAUZWA🇹🇿📍Location :KISOTA KIGAMBONI DAR) 🔽SQ 1118 (HATI YA WIZARA...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 420,000,000

#kigamboni #house for sale 🔥🔥🔥🔥🌏Gorofa vyumba 6 vyote master 🌏Bei=420m maongezi kitogo yapo Wa...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI KIBADA 👉Plot size: SQM 708Dimensions; mita 22 kwa mita 32👉Documents; CLEAN DOC...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 420,000,000

(House for sale) Fully title did) (Kisota Kigamboni) price million 420 maongezi yapo

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada📍Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia umbal wa...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO TSH 350K 😋 GEZA ULOLE KIGAMBON...