Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Tunakuletea Mradi mpya wa Kigamboni Tundwi Songani ๐ก๐
Mradi mzuri sana upo Wiraya ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani.
Viwanja vimepimwa na vinatambulika na Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo.
Mradi huu wa Tundwi Songani:-
Upo umbali wa km 45 kutoka ferry kigamboni na km 40 kutoka Darajani Kigamboni.
Ukubwa wa Viwanja ni kuanzia Sqm 400 hadi 1000 na bei ya Sqm 1 ni elfu 5000/= Tsh.
Mradi umezungukwa na huduma muhimu mfano: Barabara, Umeme na Maji
Nukuu: โWekeza sasa kwa faidi ya badaeโ
#jasirilandcompany #viwanjakigamboni #viwanja #umiliki_hati_mkononi #tundwisongani