Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
๐ฅ๐ฅMRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO๐ฅ๐ฅ
๐๐ฝViwanja vimepimwa na vina MAWE yanayotambulika na wizara ya ardhi
๐๐ฝ2 Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwenye mpango wa Lami.
๐๐ฝGood neighbourhood (majirani watu wa bandari TPA), kiufupi ni mji wa kishua.
๐๐ฝKaribu na Chuo cha Afya Kigamboni (City College of Health)
๐๐ฝKaribu na Shule ya Sekondari Ihsan
๐๐ฝHuduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.
๐๐ฝBei elekezi hapa tumesusa kwa ;-
Malipo ya cash: 15,000/=
Malipo ya installment :17,000/=
๐๐ฝUkubwa kuanzia 400 SQM
๐๐ฝSite visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .
๐๐ฝUzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.
TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR
AU TUPIGIE KWA NAMBA 0768579000