Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


MPANGO HUU HAPA
UNAPATA WAPI NGUVU YA KUNUNUA VIWANJA MAPORINI  KWA 5M WAKATI VIANZI VIKINDU NI LAKI NANE TU. (800,000/=).
 KIGAMBONI NI 1.MILIONI MOJA Tu😋 (KIGAMBONI // HALF LONDON)
Karibuni Viwanja VILIVYOPIMWA.
 (SURVEYED PLOTS)
📍location :👉
#VIANZI VIKINDU #KIGAMBONI , #MWASONGA mbele ya DAR ES SAALAM ZOO , NAMAENEO MENGINE NDANI YA DAR ES SALAAM. 0714 804182
_________________________________________________
👉 BEI YAKE NI 6,000/=Tsh  kwa square meter (sqm) moja
👉SQM 300 (20 kwa 15 ) = 1.8M
👉 ,SQM 400 (20 kwa 20) = (2.4M)
👉SQM  500 ( 25 kwa 20 ) = 3M
👉SQM  800 ( 40 kwa 20 ) = 4.8M
👉SQM 1000 ( 40 kwa 25) = 6M😋
 Unaweza kuchukua hata  SQM 500, 600, 800 ,1000 ,20000 n.k
____________________________________
■unaweza kulipia nusu kwanza (installment)
■Inayobaki unalipa kidogo kidogo  kadri ya uwezo wako.
■Ukichukua eneo kubwa na ukalipa Cash utapata  discount 
■Umbali ni Km 24 kutoka Ferry Kupitia Kibada  na km 25 kutoka darajani (nyerere bridge)
■UMEME Upo Nguzo zimepita mbele ya Mradi 
■Eneo lipo karibu na huduma za kijamiii mfano Shule , hospital,  n.k
__________________
⚠️KUTOKA FERRY HADI MWASONGA KWA DALA DALA NI SH. 800 Tu na lami ikishafika dala dala itakuwa 400 😋😋
‼️Kwenda Kuona Viwanja ni KILA SIKU unapelekwa na kurudishwa Bureeeee! Kabisa
☎️PIGA  SIMU 0714 804 182
kingoproperty_ 
#sukumandotoyako




















