Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 18,000,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

1.KWANI KISARAWE 2 (TWO) NI WAPI …..?

Kisarawe 2 ni kigamboni kituo kinachofuata baada ya kibada wengine wanapaita kigogo ni Km 7 kutokea kibada stendi njia ya kwenda mwasonga au dar es salaam zoo hii barabara ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kumwaga lami hivyo ni kimbilio la wateja wengi kwasasa kabla bei hazijapanda

2. KWANINI KISARAWE 2 NA SIO SEHEMU NYINGINE …?

Kwasababu ni karibu sana na ferry/ darajani na panafikika kirahisi , KISARAWE 2 ni umbali ya dakika 35 kutoka site hadi kufika ferry / darajani na hakuna foleni panafikika kirahisi ni Km 14 kutoka darajani/ ferry

3. BEI ZAKE ZIPOJE …?

Bei za kisarawe 2 ni shilingi elfu therathininkwa mita moja ya mraba (SQM 1 = 30,000) hivyo ukubwa wa kiwanja unaoutaka unazidisha mara mita moja ya mraba
Mfano ; SQM 600 (mita 30 kwa 20) unazidisha mara 30,000Tsh = 18M

4; UMILIKI WAKE UPOJE ….?

Viwanja vipo vinne vya swm 600, SQM 800, SQM 1200, SQM 2650, VYOTE VINA HATI KAMILI KITOKA WIZARA YA ARDHI.

5. MALIPO YAKE YAPOJE …?

Unaweza kulipa Cash (kwa mkupuo) au kwa awamu lakini utapewa mwezi mmoja wa kumalizia malipo.

6. SIKU YA KWENDA SITE NI LINI ..? NA OFISI ZENU ZIKO WAPI…?

Ofisi zetu zipo kigamboni kibada karibu na KIBADA GARDEN na kila siku tunaenda site.

7.MAWASILIANO
☎️0767894547
☎️0629894547

Dalali mfupi
dalali_kigamboni_mfupi
Dalali mfupi

Similar items by location

House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI __APARTMENT ZINAUZWA ZIPO 4__KILA NYUMBA MOJA INA __vyumba v2 kimoja mas...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni gezaulole 📍✅ Vyumba viwili kimoja master Sebule jiko ✅ Ndani ya fenc...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 30,000

NEW PROJECT IN KIGAMBONI, CHEKA - PRIME CITY PROJECT! ✨Your dream project is here, everything you’ve...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Ungindoni 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

🌟 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌟🏠 Vyumba 4 vyote Master (Self Contained)🛋️ Sebule ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 28,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Kisarawe 2️⃣---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

🌟 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌟🏠 Vyumba 4 vyote Master (Self Contained)🛋️ Sebule ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya ...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ferry <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko ✅nyumba ...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani lami<> nyumba ina chumba kimoja master na jiko ✅...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 13,500,000

*KIGAMBONI CHEKA PRIME CITY PROJECT* 💫🌟✨🌟🌟✨SIFA ZA MRADI⏭️ 3.7 KM KUTOKA MAIN ROAD MPAKA SITE ....

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLEBEI;MILION 20UKUBWA;SQM 400VIPO VIWILI 2CALL 0742121038

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Eneo linauzwa kigamboni buyuniUKUBWA;hekari 5Bei;Milion 38Call 0742121038

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 24,000

OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya viwanja ipo Sehemu zifuatazo:1. KIGAMBONI DEGE. Cash ni 22,...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location mji mwema <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na ji...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

📍KIGAMBONI DARAJANI KABISAA🏠CHUMBA/JIKO & CHOO____________________________________________💰200,00...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 13,500,000

*KIGAMBONI CHEKA PRIME CITY PROJECT* 💫🌟✨🌟🌟✨SIFA ZA MRADI⏭️ 2.7 KM KUTOKA MAIN ROAD MPAKA SITE ....

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 2 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

✨ FURSA YA KUMILIKI NYUMBA YA KISASA KIGAMBONI – GEZA ULOLE ✨Unatafuta makazi yenye nafasi kubwa, ub...