Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


dalali_kigamboni_kisiwani #HOT CAKE PROJECT IN #GEZA
#KIGAMBONI VIWANJA VINAUZWA @
# RESIDENTIAL BEACH SURVEYED PLOTS FOR SALE
Y Location: GEZA ULOLE (BAMBA), kigamboni y 4
Mradi huu wa viwanja vilivyopimwa upo barabara ya ferry
kwenda Avic town
» upo umbali wa km 13 kutoka kigamboni ferry (kivukoni)
» Na, km 14 kutoka Nyerere Bridge
» pia vipo umbali wa mita 800 Tu kutoka barabara ya lami ya
kibada toangoma
•umeme upo, maji na barabara zimechongwa zenye upana wa mita
15-20
•Eneo liko karibu na huduma zote za kijamii kama maji, umeme, shule, hospital, bar (bia tamu@) etc
OBEI NI
SQM 1 = 45,000Tsh cash pia
SQM 1 = 45,000Tsh installment ukianza na 50%
•UKBWA WA VIWANJA UNAANZIA SQM 400 - 2000
SQM 600 (mita 30 kwa 20) = 27M
SQM 800 (mita 40 kwa 20) = 36M
Sqm 1000 (mita 40 kwa 25) = 45M
Unaruhusiwa kuchukua hata SQM, 800, 1000, 2000, na
kuendelea
DOCUMENT ® : CLEAN TITLE DEED/HATI KAMILI V
-VIWANJA HIVI NI MALI YA KAMPUNI HIVYO HAMNA GHARAMA
YOYOTE YA UDALALI UTATOZWAX
OSITE VISIT NI KILA SIKU KUANZIA SAA 2 HAD SAA 12 JION PIA
WEEEKEND TUPO WAZI
•Sit vist, 20,000Tsh payable once