Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


๐จ๐จNEW PROJECT-CHEKA KIGAMBONI ๐จ๐จ
Mradi mpya unapatikana kigamboni cheka
๐จUMBALI๐จ
-Mradi upo kilomita 23 kutoka feri mpaka site.
-Mradi upo mita 500 kutoka barabara kuu ya lami.
๐จSIFA ZA MRADI๐จ
-Mradi upo karibu kabisa na chuo cha unesi cha WESTERN COLLEGE.
-Mradi umepimwa na kuwekwa mawe ya wizara
-Mradi ni tambarale๐ฏ.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu ikiwa na umeme upo mpaka site kabisa.
- Mradi umezungukwa na makazi ya watu (Nunua leo jenga leo).
๐จBEI ZAKE๐จ
-Tsh 40,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya mkupuo (cash)
-Tsh 45,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya awamu (installment) kwa muda wa miezi 6 kwa kianzio cha 40% (down payment).
-Tsh 55,000 kwa malipo ya bila kianzio (flat rate) kwa muda wa miezi sita.
๐จSiku za kuembelea site ni jumatano, jumanmosi na jumapili , buree kabisa.
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga simu au tuma ujumbe kwa namba 0788980126.
FURSA CREDIT SERVICES โmiliki ardhi, ishi ndoto zakoโ