Plots for sale at Kiluvya, Pwani


Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kwa Professor! Viwanja vipo mita 500 Toka Njiapanda ya kwenda FEDHA SECONDARY SCHOOL.
Viwanja hivi ni Tambarare kabisa na unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya Mwaka mmoja. Kianzio ni shilingi 1,000,000/=
Bei Kwa square meter ni shilingi 12,500/=
Viwanja vingine vipo Kiluvya Makurunge Kwa Masister,kuanzia 11,500/=, 12,500/= 13,500/= Hadi 15,000/=
Viwanja vyetu tayari vimeshakuwa approved yaani vinatambulika na Wizara ya Ardhi, Maendeleo ya watu na Makazi.
Kwa mahitaji ya Viwanja katika Maeneo haya
Tupigie
0659 972 868
0763 172 814