Plots for sale at Kiluvya, Pwani


Viwanja Vinauzwa Kiluvya kwa Masister! Hapa Kuna Viwanja vya Biashara na Makazi.
Bei ya Viwanja vya Biashara 15,000/m² SAWA na shilingi 6,000,000/= Kwa kiwanja chenye 400m²
Kiwanja Cha Makazi ni shilingi 4,600,000/= Hadi 5,000,000/= kulingana na Location kilipo Kiwanja.
Viwanja vipo aina zote,Tambarare,vichuguu,mteremko nakadhalika.
Ukifika ilipo shule ya Masister,umefika mradi wetu ulipo! Njoo umiliki Kiwanja kilichopimwa Toka Cananland na ulipe kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja.
Ofisini kwetu ni palepale Kiluvya Madukani...
Mawasiliano
0763 172 814
0659 972 868