Plots for sale at Kiluvya, Pwani


VIWANJA VINAUZWA Kiluvya Kwa Masister! Bei kuanzia 11,500/= Hadi 15,000/= Kwa square meter!
Kianzio: 1,000,000/=
Maeneo yamejengeka kama unavyoona kwenye picha! Yani Kuna Makazi ya watu very serious,wanaojitambua na wamejenga nyumba nzuri! Kikubwa ukifika Kiluvya ulizia Cananland Marketing Solutions,sisi ndio Suluhisho lako ili uweze kupata Ardhi ya uhakika.
Usiogope kufika site hata kama hujajipanga kulipa,kufika kwako site ndio mwanzo wa kuanza kufikiria kutafuta pesa,Kwa Nchi yenye Fursa ya kumiliki Ardhi kama Tanzania usikubali kuwa wa Mwisho,usikubali kisindikiza wengine,hata wewe unaweza kubadili maisha yako!
Miliki Kiwanja kilichopimwa na Cananland Marketing Solutions.... Sisi tupo na wewe bega Kwa bega,mpaka umiliki Kiwanja Chako mapema na Haraka Zaidi.
Ofisini kwetu ni Kiluvya Madukani karibu na CHAWAKIMU. Ofisi inatizamana na Round about upande wa kushoto kama unatokea Dar es Salaam na upande wa kulia kama unatokea Kibaha
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0759 461 893